Mengi Yanakuja

Tunajenga kitu maalum

Yawezekana umetambua mabadiliko kwenye tovuti yetu mwaka wote wa 2023 na 2026 kwa vile tunajenga kituo-kimoja chenye nyenzo zote kwa walio na njaa ya kiroho.

Yaliyomo ni mafundisho yasiyo pitwa na wakati ya Derek Prince, lengo letu kuu ni "kuwafikia wasiofikiwa na kuwafundisha wasiofundishwa" kwa utukufu wa Mungu katika kiwango cha kimataifa. Hii sio kazi ndogo, hasa ukizingatia maelfu ya nyenzo bure za mafundisho ya Kibiblia yanayopatikana kwa ajili ya kugawiwa.

Tunakutia moyo kuhifadhi tovuti yetu kwenye kitufe cha "bookmark" na kurejea wakati tukiendelea na ujenzi wa huduma ya kipekee ya Kikristo kwa nyenzo zenye msaada,za vitendo na zenye kuinua waaminio kila mahali.