Mengi zaidi Yanakuja

Tunatengeneza kitu maalum.

Unaweza kuona mabadiliko yanayoendelea kwenye tovuti yetu katika kipindi chote cha mwaka 2023 na mwaka 2026 tunapounda rasilmali ya mtandaoni kwa watu walio na njaa ya kiroho.

Tukiangazia mafundisho ya Derek Prince, lengo letu kuu ni "kufikia wasiofikiwa na kuwafundisha wasiofundishwa" kwa utukufu wa Mungu duniani kote. Hili si jambo dogo, hasa unapofikiria maelfu ya rasilimali za mafundisho ya Biblia zinazopatikana bila malipo ili tuzisambaze kwa watu.

Tunakuhimiza kualamisha tovuti hii na kurudi mara kwa mara tunapojenga rasilimali ya kipekee ya Kikristo ambayo ni ya manufaa, ya utendaji, na yenye kuinua waumini kila mahali.